NAIBU WAZIRI WA ARDHI, DKT. ANGELINE MABULA AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM

Naibu Waziri wa Ardhi, Dkt. Angeline Mabula ameongoza kwenye kura za maoni Jimbo la Ilemela Mwanza kwa kupata kura 502 kati ya kura 685 zilizopigwa. 

Anayemfuatia ni Israel Mtambalike ambaye amepata kura 112.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527