DAVID SILINDE APIGA MAGOTI MBELE YA WAJUMBE KUOMBA APITISHWE KURA ZA MAONI CCM
Monday, July 20, 2020
Zoezi la kujinadi kwa watia nia Ubunge Jimbo la Tunduma limeanza, David Silinde amepiga magoti kuwaangukia wajumbe kumpatia kura zote.
Jumla ya wagombea 33 wanajinadi kupeperusha bendera ya CCM kuutaka Ubunge.
Credit:ITV
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin