MUSSA AZZAN ZUNGU AIBUKA KIDEDEA KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA ILALA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu ameongoza kura za maoni katika katika Jimbo la Ilala baada ya kupata kura 148 akifuatiwa na aliyekuwa Mkuu wa wilaya hiyo, Sophia Mjema aliyepata kura 103.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post