KASHI SALULA GACHA ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI


Mjasiriamali Kashi Salula Gacha amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 Kashi Salula Gacha amechukua fomu leo Jumatano Julai 15 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na chama chake kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini.
Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu akimkabidhi Kashi Salula Gacha fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mjasiriamali Kashi Salula Gacha akionesha fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527