Mwanasheria Methusela Gwajima (kushoto) leo Julai 15,2020 amechukua fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Kawe jijini Dar es salaam kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).