Picha : LOWASSA NA MKEWE WAMDHAMINI RAIS MAGUFULI KUTETEA KITI CHAKE CHA URAIS


Waziri mkuu na Mbunge wa zamani wa Monduli Mh Edward Lowassa pamoja na mkewe Mama Regina Lowassa leo huko Monduli wamekuwa miongoni kwa wana CCM waliyomdhamini Rais John Pombe Magufuli kutetea kiti chake cha urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu baadaye Oktoba mwaka huu.


Pichani Mama Regina akitoka saini fomu za udhamini mara baada ya Mh Lowassa kufanya hivyo


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527