RAIS MAGUFULI AKIANGALIA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akichota mchanga kuweka kwenye Toroli wakati alipoenda kuangalia Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527