WENYE VIRUSI VYA CORONA NCHINI KENYA WAFIKA 270....NI BAADA YA WENGINE 8 KUONGEZEKA LEO

Naibu Waziri wa Afya nchini Kenya, Dr Mercy Mwangangi amesema watu wawili wamefariki kutokana COVID-19 nchini humo, ambapo hivi sasa jumla ya watu 14 wamefariki tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa.


Pia watu 8 wamepatikana na maambukizi na kufanya idadi yao kufikia 270.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post