NECTA YATANGAZA KUAHIRISHA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU - CORONA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, March 19, 2020

NECTA YATANGAZA KUAHIRISHA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU - CORONA

  Malunde       Thursday, March 19, 2020
Baraza la Mitihani nchini (Necta) limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyike Mei 4 mwaka huu 2020 hadi pale itakapotoa taarifa mpya.


Hatua hiyo imekuja baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutangaza Machi 17, kufungwa shule na vyuo vyote  ili kuondoa misongamano na kupambana na virusi vya ugonjwa wa corona.Kupitia maagizo hayo Necta imetoa maelekezo kwa maofisa elimu wa wilaya kuwajulisha wakuu wa shule na vyuo vya ualimu nchini wawajulishe watahiniwa kuhusu kuahirishwa kwa mitihani hiyo.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post