MBUNGE WA ROMBO, JOSEPH SELASINI AJIUZULU NAFASI YA MNADHIMU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, January 14, 2020

MBUNGE WA ROMBO, JOSEPH SELASINI AJIUZULU NAFASI YA MNADHIMU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI

  Malunde       Tuesday, January 14, 2020
Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini  amejiuzulu wadhifa wa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni  kutokana na kutotambulishwa rasmi kwa uongozi wa Bunge tangu ateuliwa miaka miwili iliyopita.Selasini aliteuliwa kukaimu wadhifa huo miaka miwili iliyopita, kufuatia aliyekuwa akishikilia wadhifa huo, Tundu Lissu kuwa katika matibabu nje ya nchi baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 nyumbani kwake Jijini Dodoma.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post