Wimbo Mpya : WANZIGIZA Ft NYANDA MAGUNILA - UKATILI WA KIJINSIA


Msanii Wanzigiza ' Lya Mayukhi' kutoka Shinyanga Vijijini ametualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa Ukatili wa Kijinsia ambao ameshirikisha Nyanda Magunila...Usikilize hapa chini mtu wangu wimbo mzuri kuhusu utetezi wa haki za wanawake na watoto.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post