Video : MAMA USHAURI - DHAMBI....NGOMA KALI SANA YA KISUKUMAMalunde1 blog inakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri ' Full Melody Classic' inaitwa Dhambi. Wimbo unahusu haki za wanawake duniani. Video imetengenezwa katika studio za Asili yetu Africa. Nyimbo hii imeimbwa kwa Lugha ya Kisukuma lakini kutokana na ubora wa studio hii,maneno yanayosikika katika video hii yametafsiriwa kwa lugha ya KiswahiliBonyeza hapa chini kutazama video hii
Theme images by rion819. Powered by Blogger.