MAMA MZAZI WA ERICK KABENDERA AFARIKI DUNIA | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, December 31, 2019

MAMA MZAZI WA ERICK KABENDERA AFARIKI DUNIA

  Malunde       Tuesday, December 31, 2019
Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki Dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019 katika Hospitali ya Amana Da es Salaam  alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.Bi. Verdiana alionekana hadharani mara ya mwisho  Disemba 13 Mwaka huu akiomba mwanae aachiwe huru kwakuwa anamtegemea kwa matibabu.

Erick ambaye kwa sasa yuko rumande katika gereza la Segerea, Dar es Salaam, alikamatwa Julai 2019 kwa makosa ya utakatishaji fedha, kukwepa kodi na kushiriki katika genge la uhalifu.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post