WAZIRI MKUU WA ISRAEL BENJAMIN NETANYAHU ASHINDWA KUUNDA BARAZA LA MAWAZIRI | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, October 23, 2019

WAZIRI MKUU WA ISRAEL BENJAMIN NETANYAHU ASHINDWA KUUNDA BARAZA LA MAWAZIRI

  Malunde       Wednesday, October 23, 2019

Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu ametangaza kushindwa kuunda baraza la mawaziri, na kurejesha mamlaka ya kufanya hivyo kwa rais Reuven Rivlin wa nchi hiyo. 

Amesema amefanya juhudi kujaribu kuunda serikali ya muungano yenye uwakilishi mkubwa, lakini ameshindwa kumshawishi kiongozi wa Chama cha Blue and White Bw. Benny Gantz kufanya mazungumzo naye. 

Taarifa iliyotolewa na ikulu ya nchi hiyo inasema rais Rivlin anapanga kumkabidhi Bw. Gantz jukumu la kuunda baraza la mawaziri, na atakuwa na muda wa siku 28 kufanya hivyo.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post