LUGOLA AWAONDOA KATIKA NYADHIFA ZAO VIGOGO WATATU WA JESHI LA POLISI NKASI | MALUNDE 1 BLOG

Friday, October 4, 2019

LUGOLA AWAONDOA KATIKA NYADHIFA ZAO VIGOGO WATATU WA JESHI LA POLISI NKASI

  Malunde       Friday, October 4, 2019
Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amewaondoa katika nyadhifa zao vigogo watatu wa polisi wa Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa kwa madai ya kushindwa kutimiza majukumu yao.

Walioondolewa ni mkuu wa polisi Wilaya ya Nkasi, mkuu wa upelelezi wa Wilaya hiyo na mkuu wa kituo cha polisi Namanyere.

Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Oktoba 4, 2019 katika ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Twitter ya wizara hiyo inaeleza kuwa Lugola amewasimamisha viongozi hao kwa kushindwa kudhibiti wizi wa ng'ombe 278 za wananchi na kuupuza taarifa zinaporipotiwa katika vituo cha polisi.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post