DITRAM NCHIMBI AONGEZWA KWENYE KIKOSI CHA TAIFA STARS, BAADA YA JANA KUPIGA HAT-TRICK


Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars”, Ettiene Ndairagije amemuongeza kwenye kikosi cha Taifa Stars, mshambuliaji wa timu ya Polisi Tanzania, Ditram Nchimbi baada ya jana kuifungia timu yake ya Polisi Tanzania magoli matatu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ulimalizika kwa sare ya kufungana 3-3 na Yanga SC katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaaam.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527