YANGA YAICHAPA AFC LEOPARDS...TSHISHIMBI AUA KWA KICHWA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, August 18, 2019

YANGA YAICHAPA AFC LEOPARDS...TSHISHIMBI AUA KWA KICHWA

  Malunde       Sunday, August 18, 2019
Kikosi cha Yanga leo kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi yake na AFC Leopardsuliochezwa leo uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Bao la Yanga limepachikwa dakika ya 83 na nahodha wa kikosi hicho, Papy Tshishimbi akimalizia pasi ya Patrick Sibomana ambaye alipiga kona kwa guu lake la kushoto likazamishwa nyavuni na kichwa cha Tshishimbi.
Mchezo wa leo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa ulishuhudia kadi nyekundu kwa mchezaji wa AFC Leopards, Vincent Obvu baada ya kuonyeshwa kandi mbili za njano kwenye mchezo wa leo.Huu ni mchezo wa pili kwa Yanga nyanda za juu kusini baada ya mchezo wa kwanza kucheza na Polisi Tanzania na ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0.
STORI NA LUNYAMADIZO MLYUKA, DAR
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post