RAIS MAGULI KUFUNGUA RASMI MAONESHO YA 4 YA WIKI YA VIWANDA YA SADC JIJINI DAR


Rais Magufuli leo Jumatatu August 5, 2019  anatarajiwa kufungua rasmi Maonesho ya 4 ya wiki ya viwanda ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), jijini Dar es Salaam.

Maonesho haya ni utangulizi wa mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi zote 16 za SADC unaotarajiwa kufanyika hapa Dar es Salaam, Agosti 17-18.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527