RAIS WA SHELISHELI DANNY FAURE AWASILI NCHINI KWA AJILI YA KUSHIRIKI MKUTANO WA 39 WA SADC | MALUNDE 1 BLOG

Friday, August 16, 2019

RAIS WA SHELISHELI DANNY FAURE AWASILI NCHINI KWA AJILI YA KUSHIRIKI MKUTANO WA 39 WA SADC

  Malunde       Friday, August 16, 2019

Rais wa Shelisheli Danny Faure, amefika nchini na kupokelewa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, kwa ajili ya kushiriki mkutano wa 39 wa SADC utakaofanyika kesho.

Rais Faure ni Rais wa pili kuja nchini baada ya kutanguliwa na Rais wa Afrika Kusini

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post