Breaking : LORI LA MAFUTA LAANGUKA NA KUMWAGA MAFUTA ISAKA - KAHAMA


Lori la mafuta la Kampuni ya Interpetrol likitokea Jijini Dar  es salaam kuelekea Burundi limeanguka katika Mji Mdogo wa Isaka wilayani Kahama Mkoani Shinyanga  leo Jumamosi Agosti 17,2019 majira ya saa nane na nusu mchana na kusababisha mafuta kumwagika.



Akizungumza na Malunde1 blog, Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Richard Abwao amesema hakuna madhara yaliyotokea kutokana na ajali hiyo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527