PICHA MSIBANI KWA REGINALD MENGI,: IGP SIRRO,WAZIRI WA AFYA NA VIONGOZI WENGINE

IGP Simon Sirro akiwa nyumbani kwa Dr. Mengi kutoa salamu za pole kwa familia.


Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akiwa  nyumbani kwa Dr. Mengi, kuomboleza msiba wa mpendwa wetu.


Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba, akiwa  msibani kutoa salamu za rambirambi nyumbani kwa Dr. Mengi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post