LAINI ZA SIMU KUSAJILIWA UPYA NCHINI KUANZIA MEI MOSI MWAKA HUUWatumiaji wote wa simu za mkononi ambao hawajasajili laini zao kwa kitumia mfumo wa alama za vidole wanatakiwa kusajili upya laini zao.

Hayo yameelezwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na watoa huduma za mawasiliano ya simu ambao wateja hao wanatakiwa kufanya hivyo kuanzia Mei Mosi mwaka huu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post