Monday, April 15, 2019

SERENGETI BOYS WASEMA WANA MATUMAINI YA KUTUSUA AFCON LICHA YA KICHAPO CHA BAO 5-4 JANA.... TAZAMA HAPA RATIBA YA LEO

  Malunde       Monday, April 15, 2019

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' Oscar Mirambo amesema bado wana nafasi ya kupata matokeo michezo yao inayofuata licha ya kupoteza mchezo wa kwanza.


Serengeti jana ilifungua pazia la michuano hiyo kwa kucheza na Nigeria na kupokea kichapo cha mabao 5-4 mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa.

Kocha Mirambo amesema vijana bado wana moto na uwezo upo wa kupata matokeo licha ya kuanza vibaya mchezo wao wa kwanza.

==>>Tazama hapo chini Ratiba ya michezo ya leo Kundi B


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post