SPIKA NDUGAI ATANGAZA KUMVUA UBUNGE JOSHUA NASSARI WA CHADEMASpika Job Ndugai amemuandikia barua Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage kumtaarifu kuwa jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na mbunge Joshua Nassari liko wazi kutokana na mbunge huyo kupoteza sifa kutokana na kutokuhudhuria vikao vya mikutano 3 ya bunge mfululizo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post