Video Mpya : CHADOGY NG'WANA MARIA - BHUTOLWA BHULAMBUHii hapa video mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Chadogy Ng'wana Maria inaitwa Bhutolwa Bhulambu. Imetengenezwa Hardtone studio na Director Manwell. Wimbo huu unaelezea jinsi ndoa zilivyogeuka kitendawili kwa akina dada, ndoa zimekuwa kama fashion,leo dada anaolewa na Masanja kesho na Maduhu,kesho kutwa anavunja ndoa na kuishi bila mme,anakaa weee bila kuolewa,mwisho wa siku anaanza kusingizia kurogwa, kumbe mchawi ni yeye mwenyewe.

Tazama hapa chini Video hii

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post