Saturday, February 9, 2019

Picha : SHEREHE YA WATAWA YAFANYIKA KANISA KATOLIKI KAHAMA

  Malunde       Saturday, February 9, 2019
Kanisa katoliki Jimbo la Kahama leo Jumamosi Februari 9,2019 limefanya Sherehe ya Watawa wa jimbo Katoliki la Kahama ambapo imefanyika kuadhimisha misa takatifu iliyokwenda sambamba na watawa sita na padri mmoja kumshukuru Mungu kwa Jubilee ya miaka 25 ya Utawa.

Siku ya Watawa hufanyika duniani Februari 2 kila mwaka lakini Jimbo Katoliki Kahama lilisogeza mbele sherehe hizo imefanyika kufanya leo Februari 9,2019. Picha zote na Patrick Mabula - Kahama
Misa takatifu ya sherehe ya Watawa ya jimbo katoliki la Kahama katika kanisa kuu la Mtakatifu Karoli Lwanga parokia ya Kahama Mjini ikiendelea.
Watawa wa kanisa Katoliki jimbo la Kahama wanaoadhimisha sherehe miaka 25 ya Utawa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Karoli Lwanga ,Parokia ya Kahama Mjini

Sherehe ya Watawa ,jimbo Katoliki la Kahama mapadri na Masista wakiandamana kwenda kanisani kuadhimisha misa takatifu

Sherehe ya Watawa ,jimbo Katoliki la Kahama mapadri na Masista wakiandamana kwenda kanisani kuadhimisha misa takatifu pia kuna watawa 6 wamemshukuru Mungu kwa Jubilee ya miaka 25 ya Utawa.

Kwaya shirikisho kanisa kuu la Mtakatifu Karoli Lwanga parokia ya Kahama mjini wakiimba wakati wa sherehe ya Watawa pamoja na kuwapongeza Masista 6 kwa jubilee ya miaka 25 ya Utawa.
Wageni wa jimbo katoliki la Kahama wakiwa pamoja na waumini katika sherehe ya Watawa .
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post