BODI YA FILAMU YAMFUNGULIA WEMA SEPETU KUENDELEA NA SANAA
Anonymous-
Bodi ya Filamu Tanzania imetangaza leo kumfungulia kuendelea na kazi za sanaa Muigizaji Wema Sepetu.
Wema alifungiwa kutojihusisha na kazi za filamu kwa muda usiojulikana kutokana na video iliyosambaa ya kukiuka maadili ya kitanzania.
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527