WANAFUNZI WAPYA WAKARIBISHWA KATIKA WIKI YA KUZOEA MAZINGIRA SUA


Principal Warden Nona Makaranga akiongea na wanafunzi wapya katika ufunguzi na kufunga siku Orientation week Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).Baadhi ya wanafunzi wapya wakisikiliza kwa makini katika Orientation week Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).
Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof.Raphael Chibunda akifungua na kufunga ORIENTATION WEEK katika Kampasi ya Solomoni Mahlangu mkoani Morogoro.Mshauri wa Wanafunzi Pule John Mutshabi akitoa neno la shukrani kwa Uongozi na wanafunzi wapya kwenye ufunguzi na kufunga ORIENTATION WEEK katika Kampasi ya Solomoni Mahlangu mkoani Morogoro.(Picha na Tatyana Celestine)Prof. Phiri kutoka Idara ya Sayansi ya Mifugo na Tiba kwa wanyama (VET) akiwasalimia wanafunzi wapyaMkuu wa Kituo cha Polisi SUA Bi Detha Saimon Matiku akitoa maelezo kuhusu ulinzi na usalama wa wanafunzi wawapo chuoni wakati wa kufungua na kufunga ORIENTATION WEEK katika Kampasi ya Solomon Mahlangu mkoani Morogoro.(Picha na Tatyana Celestine)Baadhi ya Uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) walioshiriki katika ufunguzi na kufunga ORIENTATION WEEK katika Kampasi ya Solomoni Mahlangu mkoani Morogoro.Wanafunzi wapya waliojiunga na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA.Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof.Raphael Chibunda akipeana mkono na mmoja wa wanafunzi wapya kwenye siku ya kufungua na kufunga ORIENTATION WEEK katika Kampasi ya Solomoni Mahlangu mkoani Morogoro.Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo (Taaluma) Prof. Peter Gillah akiongea na Wanafunzi wapya wenye siku ya kufungua na kufunga ORIENTATION WEEK katika Kampasi ya Solomoni Mahlangu mkoani Morogoro.Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo (Tawala na Fedha) Prof. Yonika Ngaga akiongea na Wanafunzi wapya wenye siku ya kufungua na kufunga ORIENTATION WEEK katika Kampasi ya Solomoni Mahlangu mkoani Morogoro.(Picha na Tatyana Celestine na Fransis Mwakatenya) )

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527