MONGELLA AMTAKA MKURUGENZI ILEMELA KUNUNUA VIFAA TIBA KATIKA KITUO CHA AFYA KARUME


Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhe. John Mongella jana amefanya ziara katika Kituo cha Afya Karume, Manispaa ya Ilemela na kushtushwa na uhaba wa vifaa tiba kwenye majengo mapya yaliyojengwa na serikali kupitia utaratibu wa “Force Account”. 

Mhe.Mongella ametoa muda wa siku saba kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela na Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo kuhakikisha majengo hayo yanaanza kufanya kazi kama ilivyokusudiwa. 

Na George Binagi-GB Pazzo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post