ANGALIA HAPA MAJINA YA WALIMU WAPYA WALIOAJIRIWA NOVEMBER 2018

Tamisemi wametangaza majina zaidi ya 153 ya walimu wapya walioajiriwa leo November 7 2018, walimu hao wa shule za msingi na sekondari wanatakiwa kuanza kuripoti  vituo vyao vya kazi kuanzia tarehe 12 -26 November 2018

Kuangalia majina hayo bofya hapa chiniDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post