Kimenuka : RAIS MAGUFULI AWASIMAMISHA KAZI VIGOGO WA POLISI KAGERA..YUMO RPC | MALUNDE 1 BLOG

Monday, October 8, 2018

Kimenuka : RAIS MAGUFULI AWASIMAMISHA KAZI VIGOGO WA POLISI KAGERA..YUMO RPC

  Malunde       Monday, October 8, 2018

Rais John Pombe Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa Kamanda wa polisi mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi,Kamanda wa polisi wa wilaya ya Kyerwa Justine Joseph na Mkuu wa upelelezi wa wilaya ya Kyerwa Everist Kivuyo na Mkuu wa kituo cha polisi Kyerwa Robert Marwa.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu,Viongozi hao wa polisi wanasimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za kuhusika katika magendo ya zao la kahawa katika wilaya ya Kyerwa pamoja na tuhuma nyingine zilizobainika wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post