IRENE ROBERT AFURAHIA MAPOKEZI MAKUBWA YA VIDEO YAKE MPYA 'KISHINDO'


Super star wa Muziki wa Injili anayekuja juu kwa sasa Irene Robert, amefurahia mapokezi aliyoyapata toka aachie video yake mpya inakimbiza kwenye vyombo mbalimbali vya habari.

Irene asema kuwa amepata faraja kubwa kuona watu wamempokea kwa nguvu na kumpa deni kubwa la kuendelea kuachia video nzuri zenye ubora na kiwango kikubwa. 

Pia amewaomba watu waendelee kumsapoti hadi afike hatua ya juu zaidi kwa utukufu wa Mungu Baba.

Tazama video hii hapa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post