BREAKING NEWS:MWANAHABARI MWENYE TUHUMA ZA MAUAJI ACHIWA HURU NCHINI KENYAHabari zilizotufkia hivi punde ni kwamba Mwanahabari wa runinga ya Citizen nchini Kenya Jackline Maribe anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Monica Kimani ameachiliwa huru kwa dhamana ya shillingi millioni 1 za Kenya pesa taslimu.

SOURCE:ITV TANZANIA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post