Wimbo Mpya : DIAMOND PLATNUMZ Ft LAVA LAVA & MBOSSO - JIBEBE
Tuesday, August 14, 2018
WCB wamekuja pamoja kwa mara nyingine tena, ni baada ya Diamond Platnumz kuachia ngoma mpya 'Jibebe' ambayo amemshirikiana na Lava Lava pamoja na Mbosso. Isikilize hapa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin