WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAMBUA PAMBA CHA GAKI MJINI SHINYANGA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama pamba inayosubiri kuchambuliwa wakati aliootembelea kiwanda cha kuchambua pamba cha Gaki kilichopo mjini Shinyanga Julai 13, 2018. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack na watatu kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda, Gaspar Kileo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mitambo ya kuchambua pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kuchambua pamba cha Gaki Investment cha mjini Shinyanga, Julai 13, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack na wa tatu kulia ni Mkurugenzi Mtendanji , Gaspar Kileo. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mbengu za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kuchambua pamba cha Gaki Investment kilichopo mjini Shinyanga Julai 13, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkurugenzi mtendaji wa kiwanda hicho, Gaspar Kileo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Theme images by rion819. Powered by Blogger.