Ninayo hapa video mpya ya msanii Nyanda Majabala 'Kisima' inaitwa Ng'wananjomo..Hii ni miongoni mwa video zake sita kali alizoachia mwaka huu 2018 katika albam inaitwa Maisha.Tazama ngoma hii hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google
Playstore Bofya
Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi
kupitia malundeblog@gmail.com
TAFUTA HABARI
Social Plugin