Video Mpya Kabisa : NYANDA MAJABALA 'KISIMA' - LOBHEMBE


Nakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Kisima 'Nyanda Majabala' kutoka mkoani Simiyu inaitwa Lobhembe..Hii ni miongoni mwa nyimbo sita mpya za msanii huyu mwaka 2018 kupitia albam yake aliyoipa jina la Maisha.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.