Video Mpya : JUMA MARCO - UTAPELI....NGOMA KALI YA ASILI


Nakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Juma Marco "Ng'wana Ester" kutoka Kashishi Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Utapeli..Video hii imeongozwa na Gooder / Mong kutoka studio za Asili Yetu Africa za jijini Mwanza.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.