Video : WACHINA WA KITANZANIA 'WA MAMA USHAURI' WAKIRUKA SARAKASI ....NI HATARI LAKINI SALAMA!!

Nimekuwekea hapa video ya Vijana wa Sarakasi kutoka kundi la burudani la msanii wa nyimbo za asili,Mama Ushauri 'Full Melody Classic' kutoka Tinde - Shinyanga. Tazama video ya Wachina hawa wa Kitanzania wakionesha vipaji vyao.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.