Video : KUTANA NA MAWAZO KIJANA WA SARAKASI WA 'BHUDAGALA' AKIONESHA MAAJABU..NI BALAA!!


Nakukutanisha na kijana Mawazo kutoka kundi la burudani la msanii wa Nyimbo za asili 'Bhudagala Mwanamalonja'. Mawazo ni kijana ambaye ni mlemavu wa kuongea na kusikia 'Bubu' ana uwezo mkubwa wa kuruka sarakasi. Lakini leo nakualika utazame jinsi anavyocheza na ringi ya baiskeli. Ni balaa mtupu
Tazama hapa chini Mawazo akicheza na ringi wakati wa sherehe za upandaji miti kitaifa hivi karibuni wilayani Kishapu mkoani Shinyanga


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527