Video Mpya : MJUKUU WA MWANA MALUNDI Ft MAGODI ZE DON - POLE BHAMAYO


Unamkumbuka Manju mtu mwenye miujiza Mwana Malundi? Basi ninayo hapa ngoma ya Mjukuu wa Mwana Malundi amemshirikisha msanii wa nyimbo za asili Magodi Ze Don inaitwa "Pole Bhamayo".
Itazame hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post