Video Mpya ya Asili : KISIMA NA SUPER NYAKOLE - NG'WALU


Kama kawaida ya Malunde1 blog kukusogeza na wasanii wa nyimbo za asili,leo nakualika video mpya ya Super Nyakole  aka "The Big Mama"  ameshirikiana na Kijana Machachari Kisima maarufu "Nyanda Majabala" kutoka mkoani Simiyu,wimbo unaitwa Ng'walu ni ngoma kali sana,hakika utapenda
Video imetengenezwa Makula Studio 

Itazame video hii hapa chini


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post