Video mpya : MAMA USHAURI - NIKUIMBIE


Kama kawaida ya Malunde1 blog kukuweka karibu na wasanii wa nyimbo za asili...tayari tunayo video mpya ya Mama Ushauri 'Full Melody Classic' wimbo unaitwa Nikuimbie,umetengenezwa katika studio za kisasa za Asili Yetu Africa kwa mkono wa Director Gooder /Mong ...Huu wimbo mzuri wa mapenzi,,Utazame hapa chini

Theme images by rion819. Powered by Blogger.