Picha: RAIS MAGUFULI AMTEMBELEA MZEE KINGUNGE ALIYELAZWA MUHIMBILI BAADA YA KUSHAMBULIWA NA MBWA

Rais Magufuli akimjulia hali mzee Kingunge Ngombale Mwiru, katika wodi ya Mwaisela, Muhimbili. Mzee Kingunge amelazwa hospitalini hapo baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake

Theme images by rion819. Powered by Blogger.