Friday, December 22, 2017

Picha : KIWANDA BUBU CHA POMBE BANDIA KILICHONASWA MWANZA

  Malunde       Friday, December 22, 2017

Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihimiza ulipaji wa kodi wapo wahujumu uchumi na wanaotumia vibaya Sera ya Tanzania ya viwanda.


Kupitia oparesheni iliyofanyika juzi usiku, Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limefanikiwa kubaini Kiwanda bubu cha pombe bandia kilichokuwa kinazalisha pombe kali iliyopewa jina la 'kubumba'


Polisi wamekifunga kiwanda hicho na kumkamata mmiliki wake, Emanuel George Munisi maarufu kama CCM pamoja na wenzake wanne.


Pombe hizo zilikuwa zikitumia stempu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), na meneja msaidizi wa TRA Mwanza amesema wanafuatilia kujua mtuhumiwa alipataje stempu hiyo bila kuwa na kibaliAdvertisement
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post