Ninayo hapa ngoma mpya ya asili ya Kulwa Simon amemshirikisha Best Nasso inaitwa 'Mila',yupo pia Mchekeshaji Erick.Wimbo unahusu masuala ya 'Kuchaguliwa Mchumba wa Wazazi'.
Tazama ngoma hii hapa chini,weka mbali na watoto kuna viuno vya hatari
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok