MUME WA ZARI DIAMOND PLATNUMZ ATOA NENO KIFO CHA MZAZI MWENZA NA ZARI IVAN

Alfajiri ya leo May 25, 2017 ziliripotwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Baba wa watoto wa Zari The Boss Lady Ivan Semwanga ambaye ni mfanyabiasha maarufu kutoka Uganda.

Watu mbalimbali wametuma salamu zao za rambirambi kwa msiba huo akiwemo Diamond Platnumz ambaye ni mpenzi wa sasa wa Zari na wakiwa na watoto wawili, Diamond aliweka picha ya mshumaa na kuandika maneno manne ‘mbele yako, nyuma yetu‘

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post