Live: RAIS MAGUFULI AKIPOKEA RIPOTI YA MADINI KATIKA MAKONTENA YA MCHANGA
Wednesday, May 24, 2017
Fuatilia maangazo ya moja kwa moja toka Ikulu ambapo Mhe. Rais Magufuli anapokea Taarifa ya KAMATI Maalum aliyoiunda kuchunguza mchanga ulio katika makontena ya mchanga wa madini (Makinikia) yaliyopo katika maeneo mbalimbali Nchini.
BOFYA HAPA CHINI KUANGALIA LIVE!
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin