ORODHA YA NCHI 20 ZINAZOTAJWA KUONGOZA KWA UBAGUZI DUNIANI

Ubaguzi wa rangi ni moja kati ya matatizo yanayosumbua dunia kwa muda mrefu na limekuwa chanzo cha migogoro katika nchi nyingi duniani kote ambapo kwa mujibu wa ripoti ya Washington Post nchi nyingi kutoka Asia zimetajwa kuongoza kwa ubaguzi.

Kwa muibu wa ripoti hiyo pia, nchi ya Afrika Kusini inatajwa kuwa nchi pekee kutoka barani Afrika kuwa na ubaguzi wa rangi kwa kiwango cha 19.6% ikishika nafasi ya 9 kwenye list ya nchi 20 zinazoongoza kwa ubaguzi wa rangi duniani huku Libya na Misri pia zikiingia TOP 20.

Kwa mujibu wa utafiti huo wa Washington Post hizi ndizo nchi 20 zinazotajwa kuongoza kwa ubaguzi wa rangi hadi kufikia December 2016.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post