Leo Mei 30,2016 Malunde1 blog inakusogezea Video mpya ya msanii maarufu/manju wa nyimbo za asili wa kabila la Kisukuma kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoa wa Mara.Wimbo Rose upo katika Albamu yake mpya 2016 inaitwa "Kishimbe"..Tazama hapa chini